Simba SC yapelekwa CAS tena

Simba SC yapelekwa CAS tena

Hadrianus

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2020
Posts
2,112
Reaction score
5,229
[emoji116]
IMG_20210810_171317_881.jpg
 
Ni sehemu ya kudanganyia mashabiki wavimba macho wa utopwise na kujiliwaza kwa viongozi wao.Hivi wamempokea Herieth Makambo?Anyway,Leo tena kuna kesi gani?😆😆😆😆😆
 
  • Thanks
Reactions: mmh
Ni sehemu ya kudanganyia mashabiki wavimba macho wa utopwise na kujiliwaza kwa viongozi wao.Hivi wamempokea Herieth Makambo?[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
Utopolo wamefikaje tena hapa! Nyie ndiyo mnafanya watanzania wengine tuonekane ni wapumbavu kwa upambavu wenu
 
Hiyo kesi ilikuwepo muda mrefu na adhabu ilitolewa ila Simba ikakata rufaa kwa sababu mawasilian yalikuwa yanafanywa kupitia kwa Senzo ambaye alishaondoka klabuni kwa hiyo Simba kama klabu haikushirikishwa.
 
Back
Top Bottom