OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
- Thread starter
-
- #41
Mkuu humu kuna mabingwa tunasoma comment zenu,jitahidi kutuandikia vitu vyenye akili. Sisi tumeiokota Yanga toka jalalani mpaka kushiriki Club bingwa.USAJILI WA SIMBA NI KAMA WAMEPANIC HAWANA UTULIVU HATA KIDOGO NA NAHISI MTAKUNG'UTWA ADI NA MAJIMAJI MWAKA HUU.
Kwahiyo Leicester city, wamezidiwa na Simba ya Tanzania?Naona Mo sasa ana malengo ya kupiga fedha ndefu za kuuza wachezaji hapo baadae, Huyu Dogo alikuwa akiwindwa na Leicester City.
Inaonekana wewe Ndio umepanic sisi tunafanya mambo yetu taratibuUSAJILI WA SIMBA NI KAMA WAMEPANIC HAWANA UTULIVU HATA KIDOGO NA NAHISI MTAKUNG'UTWA ADI NA MAJIMAJI MWAKA HUU.
alichagua mikiaIkawaje asa hadi dili halikukamilika?
Uto...mnapata tabu sana na usajili wa Simba....hao wanamuziki wenu wa kikongo hamuwaamini?HUYU JAMAA NI MCHEZAJI SAWA ILA WA KAWAIDA SANA NAEZASEMA AEZI ATA KUMKARIBIA KIPAJI AMBUNDO, WALA SIO LEVEL WALA YA CHIKWENDE WALA HAMFIKII YULE MKENYA KIJIKO MLIEMUACHA.
USAJILI WA SIMBA NI KAMA WAMEPANIC HAWANA UTULIVU HATA KIDOGO NA NAHISI MTAKUNG'UTWA ADI NA MAJIMAJI MWAKA HUU.
Aisee mtapiga pesa ndefu sana. Mkuu kwani mpaka akaunti yenu ina kiasi gani cha pesa?MO na Management yote ya Simba naona wanafanya biashara sasa!!...hawa vijana wawili wakimaliza msimu 21/22 huku tukiwa tumechukua makombe yetu kama kawaida bila kusahau club bingwa Africa tutapiga fedha ndefu sana
Roughly 4B in 1 month sijaweka za ushindi wa Vpl,asf, club bingwa,achana na fedha za sports pesa,kuna fedha ya Azam aisee wacha nikae kimya kuna mo foundation bado unataka niendeleeAisee mtapiga pesa ndefu sana. Mkuu kwani mpaka akaunti yenu ina kiasi gani cha pesa?
Hizi 4B zipo kwenye account ya Simba sports club? Mo foundation na Simba sports club ina uhusiano gani? Au unamaanisha Mo foundation inaipa Simba pesa kwa matangazo kwenye jezi za Simba?Roughly 4B in 1 month sijaweka za ushindi wa Vpl,asf, club bingwa,achana na fedha za sports pesa,kuna fedha ya Azam aisee wacha nikae kimya kuna mo foundation bado unataka niendelee
Wewe unaonaje!!.... wenzako wamefanya biashara nzuri unataka kuona fedha kwenye account yako!!..Hizi 4B zipo kwenye account ya Simba sports club? Mo foundation na Simba sports club ina uhusiano gani? Au unamaanisha Mo foundation inaipa Simba pesa kwa matangazo kwenye jezi za Simba?
MO foundation ni taasisi inaipa Simba SC fedha kwaajili ya matangazo kwenye jezi hili mbona liko wazi!!..Metl ina toa fedha kwaajili ya kutangaziwa bidhaa zake kwenye jezi hii iko wazi kabisa!!..hizi 4B nimesema ni nnje ya hiyo mikataba mingine hizi ni fedha zilizopo wazi kabisaHizi 4B zipo kwenye account ya Simba sports club? Mo foundation na Simba sports club ina uhusiano gani? Au unamaanisha Mo foundation inaipa Simba pesa kwa matangazo kwenye jezi za Simba?
DuuuuhHuyo dogo balaa lake kubwa,, alishawahi kutoa assist wiki moja kabla ya mechi, yani mwaka huu watupe tu kombe letu mapemaaa
hukusikia alivyotoa assist moja ikazaa goli 3Huyo dogo balaa lake kubwa,, alishawahi kutoa assist wiki moja kabla ya mechi, yani mwaka huu watupe tu kombe letu mapemaaa
Haji ndiye alikuwa anavujisha siri za usajili.Simba Raha sana inasajiri bila mbwembwe..Ila kule Mzee mpili FC kila muda wanashusha nyuzi za kuipongeza timu Yao wazee wa bana Congo
Hii kitu itakuwa mujarab kwaoSeptemba 25 lazima tujipigie uto za kutosha, waandae mafuta ili kujipunguzia michubuko! [emoji1787]
π€£πππππ€£ dah hiyo sijasikia, nilichosikia mie huko kwao kashawahi kujirushia mpira mwenyewe na kafunga mwenyewe, yani wale jamaa zetu mwaka huu wataenda w.h.o na sio cas tenahukusikia alivyotoa assist moja ikazaa goli 3
Nilikuwa sijui hili embu nifahamishe ni sh ngapi wanatoa?MO foundation ni taasisi inaipa Simba SC fedha kwaajili ya matangazo kwenye jezi hili mbona liko wazi!!..Metl ina toa fedha kwaajili ya kutangaziwa bidhaa zake kwenye jezi hii iko wazi kabisa!!..hizi 4B nimesema ni nnje ya hiyo mikataba mingine hizi ni fedha zilizopo wazi kabisa