Simba Sc yasajili "Play Station" Pape Ousmane

Simba Sc yasajili "Play Station" Pape Ousmane

HUYU JAMAA NI MCHEZAJI SAWA ILA WA KAWAIDA SANA NAEZASEMA AEZI ATA KUMKARIBIA KIPAJI AMBUNDO, WALA SIO LEVEL WALA YA CHIKWENDE WALA HAMFIKII YULE MKENYA KIJIKO MLIEMUACHA.
Uto...mnapata tabu sana na usajili wa Simba....hao wanamuziki wenu wa kikongo hamuwaamini?
USAJILI WA SIMBA NI KAMA WAMEPANIC HAWANA UTULIVU HATA KIDOGO NA NAHISI MTAKUNG'UTWA ADI NA MAJIMAJI MWAKA HUU.
 
MO na Management yote ya Simba naona wanafanya biashara sasa!!...hawa vijana wawili wakimaliza msimu 21/22 huku tukiwa tumechukua makombe yetu kama kawaida bila kusahau club bingwa Africa tutapiga fedha ndefu sana
Aisee mtapiga pesa ndefu sana. Mkuu kwani mpaka akaunti yenu ina kiasi gani cha pesa?
 
Namshauri mwakalebela awe mtulivu round hii akifungua mdomo tu, anapigwa mitano faini juu na hakuna msamaha
 
Roughly 4B in 1 month sijaweka za ushindi wa Vpl,asf, club bingwa,achana na fedha za sports pesa,kuna fedha ya Azam aisee wacha nikae kimya kuna mo foundation bado unataka niendelee
Hizi 4B zipo kwenye account ya Simba sports club? Mo foundation na Simba sports club ina uhusiano gani? Au unamaanisha Mo foundation inaipa Simba pesa kwa matangazo kwenye jezi za Simba?
 
Hizi 4B zipo kwenye account ya Simba sports club? Mo foundation na Simba sports club ina uhusiano gani? Au unamaanisha Mo foundation inaipa Simba pesa kwa matangazo kwenye jezi za Simba?
Wewe unaonaje!!.... wenzako wamefanya biashara nzuri unataka kuona fedha kwenye account yako!!..
 
Hizi 4B zipo kwenye account ya Simba sports club? Mo foundation na Simba sports club ina uhusiano gani? Au unamaanisha Mo foundation inaipa Simba pesa kwa matangazo kwenye jezi za Simba?
MO foundation ni taasisi inaipa Simba SC fedha kwaajili ya matangazo kwenye jezi hili mbona liko wazi!!..Metl ina toa fedha kwaajili ya kutangaziwa bidhaa zake kwenye jezi hii iko wazi kabisa!!..hizi 4B nimesema ni nnje ya hiyo mikataba mingine hizi ni fedha zilizopo wazi kabisa
 
Septemba 25 lazima tujipigie uto za kutosha, waandae mafuta ili kujipunguzia michubuko! [emoji1787]
Hii kitu itakuwa mujarab kwao
Screenshot_20210815-113247.jpg
 
MO foundation ni taasisi inaipa Simba SC fedha kwaajili ya matangazo kwenye jezi hili mbona liko wazi!!..Metl ina toa fedha kwaajili ya kutangaziwa bidhaa zake kwenye jezi hii iko wazi kabisa!!..hizi 4B nimesema ni nnje ya hiyo mikataba mingine hizi ni fedha zilizopo wazi kabisa
Nilikuwa sijui hili embu nifahamishe ni sh ngapi wanatoa?
 
Back
Top Bottom