Wewe umesema "tutapiga pesa" hili kauli inaonesha hata wewe unahusika katika mahesabu ama biashara za Simba. Ndio maana nimetaka uniambie akaunti yenu ina kiasi gani mpaka sasa?Wewe unaonaje!!.... wenzako wamefanya biashara nzuri unataka kuona fedha kwenye account yako!!..
UKWELI MCHUNGUMtanisahihisha, ila mara nyingi wachezaji kutokea africa magharibi huwa hawafnyi vzuri hapa bongo.
Morrison kajitahd sana.
Inategemea na aina ya mchezaji mbona wawa yupo vzr pia.? Tatzo linakuja labda mchezaji ligi imemuwia ngumu nkMtanisahihisha, ila mara nyingi wachezaji kutokea africa magharibi huwa hawafnyi vzuri hapa bongo.
Morrison kajitahd sana.
Wawa ni wa Congo siyo west Africa!Inategemea na aina ya mchezaji mbona wawa yupo vzr pia.? Tatzo linakuja labda mchezaji ligi imemuwia ngumu nk
Sent using Jamii Forums mobile app
Acha fix tangu lini Wawa akatokea Congo.Wawa ni wa Congo siyo west Africa!
😂😂😂 jamaa umeuliza na kujijibu mwenyewe. safi sanaMtanisahihisha, ila mara nyingi wachezaji kutokea africa magharibi huwa hawafnyi vzuri hapa bongo.
Morrison kajitahd sana.
Utopolo mnateseka mkiwa wapi. kunyweni majiUKWELI MCHUNGU
Unamfahamu Kotei wewe?Na Kipre Tcheche umewahi kumsikia?Mtanisahihisha, ila mara nyingi wachezaji kutokea africa magharibi huwa hawafnyi vzuri hapa bongo.
Morrison kajitahd sana.
hao ni watu ambao ili mradi tu aonekane ameikosoa Simba.Unamfahamu Kotei wewe?Na Kipre Tcheche umewahi kumsikia?
1 Yaw BerkoMtanisahihisha, ila mara nyingi wachezaji kutokea africa magharibi huwa hawafnyi vzuri hapa bongo.
Morrison kajitahd sana.
Wawa ni raia wa wapi ndugu ?Wawa ni wa Congo siyo west Africa!
jambo la muhimu kwake ni kukosoa Simba,haijalishi1 Yaw Berko
2. Isaac Boakey
3. Ernest Boakey
4. Bernad Morrison
5.Yakub Mohamed
6.Paschal Wawa
7. Vincent Bozou
8. Daniel Amoah
9. Kipre Tchetche
10. Eme Izechukwu
11. Vincent Angban
12. Razak Balora
13. Kotei na mwenzake
14. Asante Kwasi
15. Stephanie Kingue
16. Kipre Balou
17. Daniel Agyei
Vipi tuendelee kuorodhesha ?
Ndiyo furaha yaojambo la muhimu kwake ni kukosoa Simba,haijalishi
Oky1 Yaw Berko
2. Isaac Boakey
3. Ernest Boakey
4. Bernad Morrison
5.Yakub Mohamed
6.Paschal Wawa
7. Vincent Bozou
8. Daniel Amoah
9. Kipre Tchetche
10. Eme Izechukwu
11. Vincent Angban
12. Razak Balora
13. Kotei na mwenzake
14. Asante Kwasi
15. Stephanie Kingue
16. Kipre Balou
17. Daniel Agyei
Vipi tuendelee kuorodhesha ?
Bado unashikilia msimamo wako ?