changaule
JF-Expert Member
- Jan 10, 2020
- 6,039
- 10,151
Wewe umesema "tutapiga pesa" hili kauli inaonesha hata wewe unahusika katika mahesabu ama biashara za Simba. Ndio maana nimetaka uniambie akaunti yenu ina kiasi gani mpaka sasa?Wewe unaonaje!!.... wenzako wamefanya biashara nzuri unataka kuona fedha kwenye account yako!!..