OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
My Take
Al Ahl na waarabu wengine tengeni bajeti kabisa, Simba Sc kama Academy ya Afrika tutawapa na huyu mwakani
Bonus
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Litakufa jitu kule msondo ngoma.Kumekucha
litakufa kifo kibaya. watalizika mifupa tuLitakufa jitu kule msondo ngoma.
Linani hilo mkuu?litakufa kifo kibaya. watalizika mifupa tu
Kuliko hata PSG kwa MessSimba Raha sn,inasajiri bila mbwembwe..Ila kule Mzee mpili FC kila muda wanashusha nyuzi za kuipongeza timu Yao wazee wa bana Congo
Uto kama uto washaanza lawamaSeptemba 25 lazima tujipigie uto za kutosha, waandae mafuta ili kujipunguzia michubuko! [emoji1787]
Harakaharaka haina baraka😅😅😅Uto kama uto washaanza lawama View attachment 1892166
Wanaipngia TFF kazi za kufanya[emoji23][emoji23]Uto kama uto washaanza lawama View attachment 1892166
Hayo ni maamuzi ya kamati ya utendaji ya tff kilichofanya kikao chake leo. Uto ni kawaida yao kulamika kama kahaba asiyelipwa wakati utamu wameupata wote, waenda huko Congo wakachukue wachezaji wa mkopo wajazilizie.Uto kama uto washaanza lawama View attachment 1892166
Kwani NDOMBORO YA Sollo FC wanasemajeAhaa!,, Simba,,Simba,,itauwa watu.Simba Inawezaje kupata wachezaji wengi wazuri?
wamchukue Nyoshi na Maringo 7 wa Mizengwe kutimiza 12Uto kama uto washaanza lawama View attachment 1892166
hatari sanawamchukue Nyoshi na Maringo 7 wa Mizengwe kutimiza 12