Ikiwa ni Muendelezo Wa Hatua Ya 32 bora Kombe La Shirikisho la Azam, Leo Ni Simba Sc Vs Dar City.
Je Ni Nani Kufuzu kwenda Hatua Ya 16 Bora?. Tuwe pamoja Hapa JF kwa Live Updates kuanzia Saa Moja Kamili Jioni Ya Leo
Kikosi Cha Simba Kinacho Anza
View attachment 2101486
UPDATES:
Vikosi Vinaingia Uwanjani.
00β Mpira Umeanza Hapa Benjamini Mkapa
1β Simba Wanapata kona
2β Simba Wanapata Kona
04β Simba Wanapata Kona
05β Simba Sc 1 Dar City 0 (Meddie Kagere)
09β Simba Wanapata Free Kick
10β Simba Sc 1 Dar City 0 (Meddie Kagere)
13β Simba Sc 2 Dar City 0 (Meddie Kagere)
17β Athumani Matumbo Anaoneshwa Kadi Ya Njano
18β Simba Sc 3 Dar City 0 (Chama)
20β Dar City Wanapata Kona
21β Simba Sc 4 Dar City 0 (Rally Bwalya)
23β Simba Sc Wanapata kona
26β Simba Sc 4 Dar City 0
27β Simba Sc Wanapata Free Kick
29β Dar City Wanapata Kona 2
31β Simba Sc 4 Dar City 0
36β Simba Sc 4 Dar City 0
37β Simba Sc Wanapata Kona Ya 5
38β Simba Sc Wanapata Kona Ya 6
40β Simba Sc 4 Dar City 0
42β Juma Abdallah Anaoneshwa Kadi Ya Njano
43β Simba Sc Wanapata Kona 7
Dakika Moja Ya Nyongeza
45 +1 Simba Wanapata Kona Ya 8
Mpira ni Mapumziko.
Takwimu za Kipindi Cha Kwanza
View attachment 2101559
KIPINDI CHA PILI
Timu zinarejea Uwanjani
Simba Imefanya Mabadiriko ya Wachezaji 3, Bocco, Jimson na Wawa ametoka Enock Inonga, Bwalya na Kagere
45β Kipindi Cha Pili Kimeanza Hapa Benjamini Mkapa.
47β Simba Sc 5 Dar City 0 (Wawa)
53β Dar City wanapata Free kick
55β Dar City Wanafanya Mabadiriko Ya Wachezaji 3
60β Simba Sc Wanapata Free Kick
60β Simba wanafanya Mabadiriko Mugalu na Morrison Wanaingia Akitaoka Chama na Yusuph Mhilu
62β Simba Sc Wanapata Kona
74β Simba Sc Wanapata Kona ya 13
79β Simba Sc 6 Dar City 0 ( Mugalu)
Dakika 2 za Nyongeza
90 + 2 Kenedy Juma Anapata Kadi Ya Njano
FT SIMBA SC 6 DAR CITY 0