SIMBA SC yashinda 6-0 dhidi ya Dar City FC | ASFC | Benjamini Mkapa Stadium

SIMBA SC yashinda 6-0 dhidi ya Dar City FC | ASFC | Benjamini Mkapa Stadium

Wachezaji wote wana mentality ya kumtafutia captain wao goli walau ajioshe, ila gundu kimemkaa pahala.
 
Wanasimba kwa maslahi ya umma, huyu Bocco astaafishwe. Kama hajajipanga basi watuambie kabla ya kuchangia Mo Arena, ni heri tuanze kumchangia kiinua mgongo chake maana anatitia hasira na hasara. Huyo Mugalu atajuana na akina Kabila na Tshisekedi
 
Back
Top Bottom