Simara
JF-Expert Member
- Oct 1, 2014
- 7,512
- 23,925
Nani atakubali kuingia mkenge?
wamtoe hata kwa mkopo yaani wafanye wanavyojua atoke
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nani atakubali kuingia mkenge?
Mkuu vuta subira muda bado, leo ndio siku yenu ya upako. Vipofu wataona, viwete watatembea tuBocco na Mugalu [emoji28][emoji28][emoji28]
Kombe Kiko kabatini punguza wivuYapaswa kushangilia maana mnachokipata leo mmekikosa kwenye ligi kuu. Leo kila mchezaji na benchi la ufundi watang'aa kwasababu wamekitana na timu inayoweza kuwamudu
Anapiga mpira huku amefumba macho.Mugalu kamlipa bocco
Kila anachofanya msimu huu hakizai matunda.Goli la Bocco ni halali. Hakunawa
Hiyo ni mitumba kwelikweli.Dirisha dogo limefungwa juzi tu Simba tumeshindwa kufanya maamuzi ya kusajili namba tisa wa kiwango,bado timu inaimani na hii mitumba miwili Mugalu na Boco.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mbona ligi kuu msim huu hafungi?Mayele ajifunze kwa huyu medie kagere jinsi yakufunga, " Simba guru moya"
Dirisha dogo limefungwa juzi tu Simba tumeshindwa kufanya maamuzi ya kusajili namba tisa wa kiwango,bado timu inaimani na hii mitumba miwili Mugalu na Boco.
Sent using Jamii Forums mobile app