denooJ
JF-Expert Member
- Mar 31, 2020
- 18,509
- 68,228
dada sikuachi hata ukivaa pampasi..Hivi mimi naww nani ameanza kum quote mwenzio? Si umeanza mwenyewe kujipendekeza kwangu, kaa mbali na acha kufatilia wanaume uta.....
" Simba guvu moya"
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
dada sikuachi hata ukivaa pampasi..Hivi mimi naww nani ameanza kum quote mwenzio? Si umeanza mwenyewe kujipendekeza kwangu, kaa mbali na acha kufatilia wanaume uta.....
" Simba guvu moya"
Ongea taratibu wanasimba wenzako kama vile Scars na OKW BOBAN SUNZU wasikusikieLeo mpaka viwete wanashinda
Na yanga tulipowapiga 5 bila tuliwanunua??Unatia aibu, unashangilia kiasi icho kwa timu ya daraja la 3 tena unajua kabisa tumenunua mechi. Hivi kweli sisi Simba tumefikia stage iyo??
" Simba guvu moya"
dada usi-panic, kwani nani kakuita huku uje kutuharishia miguu ya kuku uliyobugia?!Mbona kila comment yangu unaifata? Unawashwa nini boya wewe? Au unanitafutia ban kwa lazima
Sema unamuangalia kakaako kisoka bingwa mara nne mfululizoTupo pamoja nacheki mpira hapa japo mm NI yanga uhakika
Anayekojolewa ni Dar City , Sio nyinyi Utopolo Ujue.....![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Sema Mnabahati Ya Kupangiwa Vibonde Aisee Nadhani Wanajua Hali Yenu Kwa Sasa, Ukianza Kule Mapinduzi Cup Mpk Huku Azam Federation Cup Huwezi Fananisha Timu Alizocheza Nazo Yanga Na Hawa Jamaaa [emoji1787]
Nimeshangaa sana anakosaje goli pale halafu anaendelea kutafuna tu kama hakuna kilichotokea.Mugalu auzwe
Kolo Mulibwanji Tukutane Kwa Prisons.Anayekojolewa ni Dar City , Sio nyinyi Utopolo Ujue.....!
Ile tulimnunua refa, hivi haujui kama Simba tulifunga magoli matatu ya penati na red card kwa Yanga? Msiwe mnashangilia tu bila kujua ukweli ulivoNa yanga tulipowapiga 5 bila tuliwanunua??
Nani atakubali kuingia mkenge?Mugalu auzwe
Nimeshangaa sana anakosaje goli pale halafu anaendelea kutafuna tu kama hakuna kilichotokea.
Na bocco je?
Sasa imagine team ipo katika situation ya kutaka goli ili kupata point halafu strikers ndio hawa!!Tuna straikers wakijinga sana, tatizo la huyu Mugalu ni usela mavi na huyu BOCCO ni mzigo kwasasa.
Ujinga kabisa.