SIMBA SC yashinda 6-0 dhidi ya Dar City FC | ASFC | Benjamini Mkapa Stadium

SIMBA SC yashinda 6-0 dhidi ya Dar City FC | ASFC | Benjamini Mkapa Stadium

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
1643563080889.jpg
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Sema Mnabahati Ya Kupangiwa Vibonde Aisee Nadhani Wanajua Hali Yenu Kwa Sasa, Ukianza Kule Mapinduzi Cup Mpk Huku Azam Federation Cup Huwezi Fananisha Timu Alizocheza Nazo Yanga Na Hawa Jamaaa [emoji1787]
Anayekojolewa ni Dar City , Sio nyinyi Utopolo Ujue.....!
 
Huyu sasa ndo bocco, kila mechi anapwaya
 
Tuna straikers wakijinga sana, tatizo la huyu Mugalu ni usela mavi na huyu BOCCO ni mzigo kwasasa.

Ujinga kabisa.
 
Back
Top Bottom