SIMBA SC yashinda 6-0 dhidi ya Dar City FC | ASFC | Benjamini Mkapa Stadium

Utopolo walikuwa pembeni wanajidanganya na leo Simba atafungwa, sasa nawaona wanavyotunga visingizio wapo wanajadili, mmoja amesema Simba amenunua naona ndio wanakaribia kukubaliana na kisingizio chake, tatizo wanaulizana tukiulizwa risiti ya manunuzi iko wapi tuwaoneshe nini?!
 
Ila kiukweli tulikuwa hatuna haja ya kununua hii mechi, hata tungeshinda goli moja kama tulivyozoea kwenye ligi isingekuwa tatizo. Huu mzigo tungeutunza kwa ajili ya kuwanunua maafande wa prison.. "Simba guvu moya"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…