SIMBA SC yashinda 6-0 dhidi ya Dar City FC | ASFC | Benjamini Mkapa Stadium

[emoji1]
Screenshot_20220130-193154.jpg
 
Ila kiukweli tulikuwa hatuna haja ya kununua hii mechi, hata tungeshinda goli moja kama tulivyozoea kwenye ligi isingekuwa tatizo. Huu mzigo tungeutunza kwa ajili ya kuwanunua maafande wa prison.. "Simba guvu moya"
Nakuona unahangaika huku muda mrefu, wenzako bado wako wanajadiliana waje na kisingizio gani wewe kiherehere umetoroka kikaoni unakuja kututapikia miguu ya kuku huku, rudi kikaoni..
 
Wakuu hivi tunapata wapi ujasiri wa kushangilia goli kwa timu ya ligi daraja la 3? Tena tumenunua mechi.. hizi nguvu tungezitumia kwa Kagera na mbeya city si tungekuwa mbali.. " Simba guvu moya"
 
🤣🤣🤣 Simba ikifungwa mbovu ikishinda inanunua mechi daah!!
 
Wakuu hivi tunapata wapi ujasiri wa kushangilia goli kwa timu ya ligi daraja la 3? Tena tumenunua mechi.. hizi nguvu tungezitumia kwa Kagera na mbeya city si tungekuwa mbali.. " Simba guvu moya"
Sio wewe uliyekula goli 4 nusu fainal, kisha msimu uliofata tukakunywa moja fainali?
 
Hvi huyu kocha Ni Pablo au Ni pepe?
Mbona Kama namuona steering ndan au Ni chama?
Au nimelewa ?
 
Nakuona unahangaika huku muda mrefu, wenzako bado wako wanajadiliana waje na kisingizio gani wewe kiherehere umetoroka kikaoni unakuja kututapikia miguu ya kuku huku, rudi kikaoni..
Bwaahaha hahahaha aisee!
 
Nakuona unahangaika huku muda mrefu, wenzako bado wako wanajadiliana waje na kisingizio gani wewe kiherehere umetoroka kikaoni unakuja kututapikia miguu ya kuku huku, rudi kikaoni..
Kikao kipi mkuu? Hiki cha juzi tulichokaa kujadili mpango wa kumfukuza Pablo baada ya Hamis Kiiza kutulaza mapema?
 
Back
Top Bottom