Mributz
Senior Member
- Aug 29, 2022
- 177
- 527
π ππ
π
πππππ: Klabu ya Simba Sc imemtangaza nyanda Moussa Pinpin Camara kama mchezaji mpya klabuni hapo akitokea klabu ya Horoya AC ya Guinea.
Camara (25) raia wa Guinea π¬π³ mwenye urefu wa sentimita 185 amesaini mkataba wa miaka miwili utakaombakisha klabuni hapo mpaka Juni 2026 na tayari yupo Benjamin Mkapa kwa ajili ya mazoezi ya mwisho kuelekea Simba Day hapo kesho.