Simba sc yatambulisha goli kipa mpya

Mributz

Senior Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
177
Reaction score
527
πŸ“ πŽπ…π…πˆπ‚πˆπ€π‹: Klabu ya Simba Sc imemtangaza nyanda Moussa Pinpin Camara kama mchezaji mpya klabuni hapo akitokea klabu ya Horoya AC ya Guinea.

Camara (25) raia wa Guinea πŸ‡¬πŸ‡³ mwenye urefu wa sentimita 185 amesaini mkataba wa miaka miwili utakaombakisha klabuni hapo mpaka Juni 2026 na tayari yupo Benjamin Mkapa kwa ajili ya mazoezi ya mwisho kuelekea Simba Day hapo kesho.
 
Hivi hii Horoya Fc haijawahi fungwa 7 na Simba CAF!?
 
Hivi hii Horoya Fc haijawahi fungwa 7 na Simba CAF!?
Yeah, Simba iliweka rekodi ya kushinda mabao mengi katika hatua ya makundi. Ni timu chache sana zimefanya hivyo ikiwemo Raja Casablanca iliyoifunga Yanga 6-0 katika hatua hiyo.
Hata hivyo Horoya iliachana na golikipa aliyefungwa goli 7 (Mohammed Camara) na kumchukua huyu Pinpin Moussa Camara ambaye yupo timu ya Taifa ya Guinea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…