Simba sc yatambulisha goli kipa mpya

Usajili wa simba hovyo kabisa na una mashaka sidhani kama watahimili ligi
 
Kulikuwa kuna ulazima kweli wa kusajili walinda mlango wawili wa kigeni kwa maslahi mapana ya timu yetu ya Taifa!! Au Lackred anaondoka?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…