Lete uthibitisho
InshaallahMugalu out.
Wawa out.
Lwanga out.
Morisone out.
Raly Bwalya out.
Nathan Idumba in.
Augustine Okrah in.
Ceaser Manzoki in.
Merquisone in.
Ww unaufahamu mpira vizur binafsi sijaona kiungo kumzudi Bwalya simbaBwalya ni mchezaji bora pale simba, yeye ndio anajua kuichezesha timu. Angalia mechi alizoanza bench za simba wanacheza vibaya mno, ila akiingia bwalya ndo unaona mpira unachezeka na balance ya timu unaiona.
Inaonekana mgeni sana katika soka. Hata mbele hujawahi kusikia neno disclosed deal. Vitu vingine muwe mnauliza sio kukurupuka kama mama wa kizaramo ameambiwa umbea mpyaUswahili hautaweza kuisha kwenye vilabu vyetu, wakisajili kwa dola kadhaa wanapiga kelele.Wao wakiuza ni kuficha ficha kwanini?
Kwamba haujui Haaland kauzwa kwa bei gani kwenda City? Chama, Miquesson, Kisinda, ulisikia wameuzwa kwa bei gani?Inaonekana mgeni sana katika soka. Hata mbele hujawahi kusikia neno disclosed deal. Vitu vingine muwe mnauliza sio kukurupuka kama mama wa kizaramo ameambiwa umbea mpya
Waanze na WAWABado Mugalu, Wawa, Lwanga, ili tupate nafasi za kusajili wageni.
Labda kama ulimaanisha ulaya ila kwa hapahapa Africa hii naikataa.Hela zenyewe chache hazina haja ya kutajwa.
Imagine wenzetu wanauza mchezaji 1 kwa Bilioni 98 ambapo klabu zetu hicho kiasi hakiwezi kufikiwa kwa msimu mzima kwenye mapato
wachezaji wetu wa kitanzania mbona hawauzwi nje jmn!!!yaani wenzao wanakuja wanasepa,wa kwetu wapo tu!kina feisal, mkude, sure boy etcKlabu ya Simba yenye maskani yake mitaa ya Msimbazi Jijini Dar es salaam leo Juni 17 2022, imetangaza rasmi kumuuza kiungo wake Left Footer Magician, Rally Bwalya raia wa Zambia.
"Tumefikia makubaliano ya kumuuza mchezaji wetu Rally Bwalya". Imeeleza kwa ufupi taarifa hiyo kupitia kwenye ukurasa wake wa Twitter.
Kufuatia taarifa hiyo, mchezo wa Jumapili Simba SC dhidi ya KMC utatumika kumuuaga Kiungo huyo Left Footer Magician Rally Bwalya, mtaalamu wa pasi za kudondosha nyuma ya mabeki.
klabu ya Simba haijaweka wazi Ada na klabu yake mpya ambayo anakwenda kuitumikia, ilielezwa ni kutokana na matakwa ya kimkataba, hata hivyo Bwalya amekuwa akiwindwa na Amazulu FC ya Afrika Kusini.
Hatuna mawakala wa kutosha na wenye ushawishi.wachezaji wetu wa kitanzania mbona hawauzwi nje jmn!!!yaani wenzao wanakuja wanasepa,wa kwetu wapo tu!kina feisal, mkude, sure boy etc
Kwanini wewe usilete uthibitisho wa kusema kwamba mkataba wake ulikuwa umeisha?
Ulaya mkuuLabda kama ulimaanisha ulaya ila kwa hapahapa Africa hii naikataa.