Simba SC yatangaza rasmi kumuuza kiungo wake Left Footer Magician Rally Bwalya

Simba SC yatangaza rasmi kumuuza kiungo wake Left Footer Magician Rally Bwalya

Uswahili hautaweza kuisha kwenye vilabu vyetu, wakisajili kwa dola kadhaa wanapiga kelele.Wao wakiuza ni kuficha ficha kwanini?
Inaonekana mgeni sana katika soka. Hata mbele hujawahi kusikia neno disclosed deal. Vitu vingine muwe mnauliza sio kukurupuka kama mama wa kizaramo ameambiwa umbea mpya
 
Inaonekana mgeni sana katika soka. Hata mbele hujawahi kusikia neno disclosed deal. Vitu vingine muwe mnauliza sio kukurupuka kama mama wa kizaramo ameambiwa umbea mpya
Kwamba haujui Haaland kauzwa kwa bei gani kwenda City? Chama, Miquesson, Kisinda, ulisikia wameuzwa kwa bei gani?
 
Hela zenyewe chache hazina haja ya kutajwa.

Imagine wenzetu wanauza mchezaji 1 kwa Bilioni 98 ambapo klabu zetu hicho kiasi hakiwezi kufikiwa kwa msimu mzima kwenye mapato
Labda kama ulimaanisha ulaya ila kwa hapahapa Africa hii naikataa.
 
Klabu ya Simba yenye maskani yake mitaa ya Msimbazi Jijini Dar es salaam leo Juni 17 2022, imetangaza rasmi kumuuza kiungo wake Left Footer Magician, Rally Bwalya raia wa Zambia.

"Tumefikia makubaliano ya kumuuza mchezaji wetu Rally Bwalya". Imeeleza kwa ufupi taarifa hiyo kupitia kwenye ukurasa wake wa Twitter.

Kufuatia taarifa hiyo, mchezo wa Jumapili Simba SC dhidi ya KMC utatumika kumuuaga Kiungo huyo Left Footer Magician Rally Bwalya, mtaalamu wa pasi za kudondosha nyuma ya mabeki.

klabu ya Simba haijaweka wazi Ada na klabu yake mpya ambayo anakwenda kuitumikia, ilielezwa ni kutokana na matakwa ya kimkataba, hata hivyo Bwalya amekuwa akiwindwa na Amazulu FC ya Afrika Kusini.
wachezaji wetu wa kitanzania mbona hawauzwi nje jmn!!!yaani wenzao wanakuja wanasepa,wa kwetu wapo tu!kina feisal, mkude, sure boy etc
 
Kazi waliyonayo Simba Kila kinachopatikana na kuingia klabu, wanagawana pasu na MO.
 
Kwahiyo tukisema kwamba tumemtema tunaona aibu?

Simba ni klabu ya hovyo mno na inapata hasara
 
AmaZulu & Sekhukhune Swap Deal Hangs In Balance

A swap deal between AmaZulu and Sekhukhune United for Rally Bwalya and Victor Letsoalo hangs in balance, even though the latter already passed his medical at Usuthu on Monday.

Both clubs are understood to have agreed to an outright swap deal after both players failed to live up to lofty expectations at their new sides.

Letsoalo scored five goals in 32 appearances for Babina Noko and famously caused the crucial penalty against them in the Nedbank Cup final, while Bwalya racked up 23 appearances, scoring once for AmaZulu.

The two clubs had agreed on an outright swap deal for both players – with Brandon Truter keen to reunite with the Zambia international he signed for Usuthu from Simba SC, while Letsoalo was told he was no longer part of Sekhukhune’s long-term plans.

However, there is a hold-up on Bwalya’s side, who has been at loggerheads with Usuthu management over minor technicalities surrounding a percentage of his sign-on fee, which is due this month.

But the minor issues between the two parties look set to be resolved, with both players keen on having fresh new start to their careers for the 2023/24 season.

This website understands, if the issue cannot be sorted out, AmaZulu are expected to buy Letsoalo outright as Babina Noko look to recoup a fee close to the around R5 million they paid for his services from Royal AM. While Sekhukhune will in-turn look to negotiate a transfer fee for the playmaker – which is said to be the last resort to complete the respective switches.

Bwalya came to South Africa after reaching the CAF Confederations Cup semi-final with Simba SC in 2021/22, where they got knocked out by Orlando Pirates.

Meanwhile, Letsoalo had a stellar 2021/22 campaign, scoring 17 goals across all competitions for Royal AM.
 
Back
Top Bottom