Izo kenge za mikiani zina chuki binafsi na manara zinalala zinamuwaza manara kila sekunde sijui aliwafanyia nini, Aziwezi kuongea maneno 3 bila kumsema manara yaani zina gubu Kama lote,,hii ni hatari aisee
Simba wanatakiwa kofocus kwenye maandalizi ya mechi ijayo. Hizi nongwa zinaweza kua mbinu za kuwatoa kwenye line. Cha msingi wanatakiwa kua makini sana kuadress hizi drama