Simba Sc yatoa tamko shombo la kocha wa Orlando

Simba Sc yatoa tamko shombo la kocha wa Orlando

Kwahiyo CEO anataka nchi itoe wanausalama wakawalinde huko South?

Yani hilo la South kuwapa ulinzi, ni kujichosha tu. Yani watoe walinzi wailinde timu ya Tanzania inayopambana na timu toka kwao? Tih tih
 
CEO pia alitakiwa kuzijibu tuhuma zote alizozitoa huyo kocha ikiwemo;
  • Kupewa eskot ya Polisi mmoja
  • Simba kupewa Penat ya isiyo halali
  • Refa kutoenda kuchungulia kwenye VAR
Hiyo sio kazi ya CEO, labda awe wa utopolo
 
Kwahiyo CEO anataka nchi itoe wanausalama wakawalinde huko South?

Yani hilo la South kuwapa ulinzi, ni kujichosha tu. Yani watoe walinzi wailinde timu ya Tanzania inayopambana na timu toka kwao? Tih tih
si rahisi kwa mwenye upeo mdogo kumwelewa CEO wa Simba
 
Maswala ya riziki anagawa Mungu, hata umchukie vipi future yake ipo mikononi mwa Mungu peke yake.

Umecomment kishangingi mno.
Izo kenge za mikiani zina chuki binafsi na manara zinalala zinamuwaza manara kila sekunde sijui aliwafanyia nini, Aziwezi kuongea maneno 3 bila kumsema manara yaani zina gubu Kama lote,,hii ni hatari aisee
 
Simba wanatakiwa kofocus kwenye maandalizi ya mechi ijayo. Hizi nongwa zinaweza kua mbinu za kuwatoa kwenye line. Cha msingi wanatakiwa kua makini sana kuadress hizi drama
 
Back
Top Bottom