mpiga vichwa
JF-Expert Member
- Oct 21, 2021
- 2,376
- 3,811
Ukisikia utopolo , ndio hao sasa.wewe ni mzima kweli?!Simba inahusikaje na maamuzi ya refa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ukisikia utopolo , ndio hao sasa.wewe ni mzima kweli?!Simba inahusikaje na maamuzi ya refa
Sasa lawama wapeleke kwa hao mashushushu walio walaghai na sio kutafuta sympathy kwa kivuli cha simbaNdio ingejibu hivyo kama ulivyojibu wewe, maana ni sehemu ya tuhuma kwa Simba kuhonga Marefa.
Inawezekana walikuja na kupewa taarifa potofu juu ya michezo michafu na ndio maana wametumia mlango tofauti wa kuingilia vyumbani
Tunawachora tu. Tutawaona na wao mwaka huu . Wanafikiri wanaichafua simba kumbe hata wao wanajichafuaZile shutuma za manara hazikuichafua simba peke yake, ziliichafua nchi pia. Na haya ndio matokeo yake, wageni wakija wanakuwa na mtazamo usiokuwa na afya juu ya vilabu vyetu na hata huduma za jamii kwa ujumla.
Nzi wa kijani katika kinyesi cha ng'ombe wa mayele [emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Caf walishapokea malalamiko kutoka Kwa timu nyingi zinazokuja kucheza na Simba Dar, Ata kocha wa Orando alivyo lalamika Caf hawatakua wageni na shutuma dhidi ya Simba.
Watakacho fanya Caf ni kuanzishwa u hunguzi rasmi Kwa kupitia malalamiko ya vilabu vyote vilivyo lalamika dhidi ya Simba na Kuja na suluhisho la kudumu.
Caf walishapokea malalamiko kutoka Kwa timu nyingi zinazokuja kucheza na Simba Dar, Ata kocha wa Orando alivyo lalamika Caf hawatakua wageni na shutuma dhidi ya Simba.
Watakacho fanya Caf ni kuanzishwa u hunguzi rasmi Kwa kupitia malalamiko ya vilabu vyote vilivyo lalamika dhidi ya Simba na Kuja na suluhisho la kudumu.
Kama ni Babra kaandaa hii barua, basi tofauti yake na Manara ni ndogo sana. Hii barua haiko professional hata kidogo, utadhani imeandikwa na wahuni wa Manzese.
Taratibu mzee hiyo sio barua. Tuanzie hapo kwanza.Kama ni Babra kaandaa hii barua, basi tofauti yake na Manara ni ndogo sana. Hii barua haiko professional hata kidogo, utadhani imeandikwa na wahuni wa Manzese.
Ipo na ya lugha ya Malikia ni uvivu wako,ungefanya juhudi kidogo tu ungeweza kuziona zote mbili.Aliyeleta hapa kachagua kuleta hii ya kiswahiliKwa hatua waliyofikia SIMBA kwa sasa, waache mipasho. Halafu taarifa ya kiswahili, kwani mlengwa ni Yanga?
Mmefanya vyema Club Kubwa!
Hao mbona wachache sana,na wale wanaounga mkono je mbona hujawasemaEnglish version mbona haipo humu. Nimeona Twitter wasauz wanaponda Ile mbaya. Wanaponda kuhusisha mambo ya Anc na apartheid na mechi ya Orlando.
[emoji3][emoji3][emoji3]Caf walishapokea malalamiko kutoka Kwa timu nyingi zinazokuja kucheza na Simba Dar, Ata kocha wa Orando alivyo lalamika Caf hawatakua wageni na shutuma dhidi ya Simba.
Watakacho fanya Caf ni kuanzishwa u hunguzi rasmi Kwa kupitia malalamiko ya vilabu vyote vilivyo lalamika dhidi ya Simba na Kuja na suluhisho la kudumu.
Kweli kabisaAchaneni na huo upumbavu jipangeni tunaenda kutokaje kule na nyie mjipange Sana kwamba msikubali kuhudumiwa na hiyo timu
CEO pia alitakiwa kuzijibu tuhuma zote alizozitoa huyo kocha ikiwemo;
- Kupewa eskot ya Polisi mmoja
- Simba kupewa Penat ya isiyo halali
- Refa kutoenda kuchungulia kwenye VAR
Utopolo on his best....Kama ni Babra kaandaa hii barua, basi tofauti yake na Manara ni ndogo sana. Hii barua haiko professional hata kidogo, utadhani imeandikwa na wahuni wa Manzese.
Achaneni na huo upumbavu jipangeni tunaenda kutokaje kule na nyie mjipange Sana kwamba msikubali kuhudumiwa na hiyo timu
Mpo sahihi kabisa.Simba yule kocha anatafuta kutotoa mchezoni...achaneni naye kipusa yule ...
Tuangalie mpambano wetu tunatoka vipi