pwilo
JF-Expert Member
- May 27, 2015
- 10,913
- 13,876
Kwani simba huwa haifanyiwi hujma kuna mchambuzi alishawahi kuelezea wanayofanyiwa simba ugenini ila malipo si hapa hapa nyinyi yanga ambao hamfanyi hujma mlifuka wapi tutawaona mkishiriki mfike mpaka fainali.Caf walishapokea malalamiko kutoka Kwa timu nyingi zinazokuja kucheza na Simba Dar, Ata kocha wa Orando alivyo lalamika Caf hawatakua wageni na shutuma dhidi ya Simba.
Watakacho fanya Caf ni kuanzishwa u hunguzi rasmi Kwa kupitia malalamiko ya vilabu vyote vilivyo lalamika dhidi ya Simba na Kuja na suluhisho la kudumu.