Simba SC yaua 4-1 Uturuki; Inatishia amani

Na sisi jana tulicheza na magereza tukashinda 10-0
 
Hii inaitwa 'Weka mbali na Watoto'.......!

Hapo ndo bado hawajaelewana, yaani KEMISTRI bado inatafutwa. Sasa KEMISTRI ikipatikana mtu Kala chache ujue ni saba Kama alivyopigwa Horoya CL iliyoisha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…