Kwakweli kongole na chapati 2Kongole kwa klabu ya simba..!
Chukua na record babkubwa zaidi.Mechi ya jana kati ya Tanzania na Guinea ilikuwa na magolikipa wa simba wote malangoni na kuweka historia duniani
Simba inakua klabu ya kwanza Tanzania makipa wake kukutana kwenye mechi moja wakiwa timu tofauti za taifa kama makipa namba moja
Rekodi hii Yanga wanaitaman sana ila ndio ivo haiwezekani, sio rahisi hii ni rekodi mpya jijini
Aisee, yaani Camara timu yake ya taifa haijafuzu.Chukua na record babkubwa zaidi.
1) Aucho mchezaji wa Yanga alikuwa timu yao ya taifa na wamefuzu.
2) Diarra yupo Yanga kashiriki kufuzu AFCON na Mali imefuzu.
3) Dube yupo Yanga na kashiriki kufuzu AFCON na Zimbabwe imefuzu AFCON
4) Aziz ki yupo Yanga na kashiriki kufuzu AFCON na Burkina Faso imefuzu AFCON
5) Chama na Musonda wameshiriki kufuzu AFCON na Zambia imefuzu AFCON.
6) Mzize, Mudathir,Baca, Job wameshiriki kufuzu AFCON na Tanzania imefuzu AFCON
7) Abuya kashiriki kufuzu AFCON na Kenya ikashindwa kufuzu AFCON.
8) katika mechi ya Tanzania vs Guinea, wachezaji waliotumikia Yanga wameshirikiana kumtungua kipinipini Camara (Feitoto - Mudathir -Msuva)
Yanga imetoa wachezaji 11 katika mataifa 7, katika mataifa hayo 7 ni mchezaji wa taifa moja pekee ndiyo timu yake imeshindwa kufuzu AFCON.
kumbe ni 1 vs 3 enhe halafu aliyetunguliwa ni kipin CamaraNyie miutopolo..mpira ulianzia kwa Shomari Kapombe akampasia Fei toto...
Simba wamebakiwa na mchezaji mmoja tu wa kimataifa kwenye AFCON ambaye ni Nouma. Yanga wamebakiwa na wachezaji 6 wa kimataifa kwenye AFCONAisee, yaani Camara timu yake ya taifa haijafuzu.
Aliyetoa asist ya goli ni wa Yanga
Familia huyo..tulizeni mihemuko...kumbe ni 1 vs 3 enhe halafu aliyetunguliwa ni kipin Camara
Yanga hawawezi kuifikia hii rekodi hata wafanyaje ni simba tu afrika nzima ndio imeweza. Huku manula huku camara,haaahaaahAyo ndio Makombe ya Simba msimu huu, yaani u mbumbumbu bobevu, timu Ina makipa wawili kutoka nje ya Nchi na Bado mwingine ana sota Bench.
Kwa hakika Ismai Aden Rage unastahili nishani ya jicho pevu kwa kugundua kipaji Cha u mbumbumbu kwenye klabu Yako pendwa.