Mr Alpha
JF-Expert Member
- Jul 31, 2018
- 273
- 765
Mechi ya jana kati ya Tanzania na Guinea ilikuwa na magolikipa wa simba wote malangoni na kuweka historia duniani.
Simba inakua klabu ya kwanza Tanzania makipa wake kukutana kwenye mechi moja wakiwa timu tofauti za taifa kama makipa namba moja.
Rekodi hii Yanga wanaitamani sana ila ndio ivo haiwezekani, sio rahisi hii ni rekodi mpya jijini.