Simba SC yavunja rekodi ya Raja kuifunga Yanga goli 6

OKW BOBAN SUNZU

Platinum Member
Joined
Aug 24, 2011
Posts
53,868
Reaction score
121,001
Hii ni rekodi ya vipigo vikali kuwahi kutolewa katika mashindano ya klabu bingwa Afrika.

Tulichofanya leo ni kuvunja rekodi ya Raja kumchapa Utopolo goli 6.

1998: 🇲🇦Raja [6-0] 🇹🇿Yanga

2001: 🇮🇪ASEC Mimosas [7-0] CR 🇩🇿Belouizdad

2019: 🇨🇩TP Mazembe [8-0] 🇹🇳Club Africain

2023: 🇹🇿Simba [7-0] 🇬🇳Horoya

Nilifikiria namna ya kuichomeka Utopolo kwenye kipigo cha leo, hatimaye nimepata
 
Mmecheza na yanga mkawafunga hizo 7 mpaka mseme mmevunja rekodi ya Raja Casablanca!?
 
Taahira kazini, kipigo cha goli tano tano ulizokula kutoka kwa As vita mbona hapo ujaweka? Au goli 5 sio rekodi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…