Simba SC yavunja rekodi ya Raja kuifunga Yanga goli 6

Record ya timu kupigwa nyingi back to back inashikiliwa na simba, hata cotton sports wameshindwa kuvunja hii record
As vita 5-0 simba
Al Ahly 5- 0 simba
 
Taahira kazini, kipigo cha goli tano tano ulizokula kutoka kwa As vita mbona hapo ujaweka? Au goli 5 sio rekodi?
Nenda kwenye official website ya CAF hivyo vipigo havipo ila heaviest kipigo wanahesabu kuanzia goli 6 utopolo mkiwepo
 
Record ya timu kupigwa nyingi back to back inashikiliwa na simba, hata cotton sports wameshindwa kuvunja hii record
As vita 5-0 simba
Al Ahly 5- 0 simba
Iko mtandao gani hii back to back tulete humu kama rekodi za CAFCL group stage?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…