Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 2,060
- 5,648
Sasa mboni anatambulishwa mapema?mapema mwakani
mechi za makundi zinaanza liniSio huwenda..
Huyo tayari yumo kwenye mahesabu ya Confederation.
Umekimbia utopolo ukaenda Azam,mechi moja kimataifa wametolewa na draw za kwenye ligi umewakimbia,sasa hivi umebaki tu kuwa mchawi wa Simba, imebaki kushabikia Kengoldif a player failed in lower leagues Europe, he will fail in high leagues of Africa
Amebaki tu kwenda chumbani kwa didy.Umekimbia utopolo ukaenda Azam,mechi moja kimataifa wametolewa na draw za kwenye ligi umewakimbia,sasa hivi umebaki tu kuwa mchawi wa Simba, imebaki kushabikia Kengold
Sawa ni mwanamuziki huyoHapo hakuna mchezaji
So far mna kipi cha kujivunia mpka sasa?Kesho wanayanga wenzangu tujiandae kwa press conference kutoka kwa semaji letu, kweli huu msimu ni waubaya ubwele heko kwenu wana simba sisi tuendelee kuamini tunaonewa mala wandishi wa habari wa Azam wanatuambia mala TFF wanaipendelea simba mala waamzi wako upande wao. Simba ndio anazidi kuchanja mbuga
Hamja cheza nao mwaka huu?Mwaka huu Hawa utopolo,kazi wanayo aisee.Mwaka huu sijui.
Kwenye mechi ipi?Hamja cheza nao mwaka huu?