Simba SC yazidi kuimarisha kikosi chake na yamtangaza Elie Mpanzu

Vigogo wa Tanzania, Simba SC wamethibitisha kumsajili Elie Mpanzu Kibisawala kwa mkataba wa miaka miwili akitokea As Vita Club.

Mpanzu anatarajiwa kucheza mechi yake ya kwanza ya Premier League mapema mwakani. Hata hivyo, winga huyo huenda akajumuishwa kwenye kikosi cha Simba kinachoshiriki Kombe la Shirikisho Afrika kwa ajili ya mechi zijazo za hatua ya makundi.

Mpanzu anakwenda kujiunga na washambuliaji wengine wa timu hiyo ambao; Valentino Mashaka, Kibu Denis, Lionel Ateba na Steven Mukwala.

Kwa mujibu wa taarifa ya Simba Mpanzu atajiunga na kikosi hivi karibuni.
Kijana wa miaka 22 anaenda kupambana na Chama wa miaka 33, atamuweza kweli?
 
Mi mpira huwa siulewi hapa kwa nini mwaka jana hawakusajiri pamoja na uhitaji kuonekana.
 
Kesho wanayanga wenzangu tujiandae kwa press conference kutoka kwa semaji letu, kweli huu msimu ni waubaya ubwele heko kwenu wana simba sisi tuendelee kuamini tunaonewa mala wandishi wa habari wa Azam wanatuambia mala TFF wanaipendelea simba mala waamzi wako upande wao. Simba ndio anazidi kuchanja mbuga
Uyo ni mchezaji ambaye Uongozi wake waliwasiliana na Yanga mapema tu baada ya Dili lake na KRC GENK kukwama, lakini uongozi wa Yanga uliwashauri uongozi wa Mpanzu kujaribu kuwasiliana na Simba kwakua Gambond hakumuitaji.

Mpanzu anaweza kushambulia kutokea pembeni eneo ambalo kwasasa Yanga wanatumika mabeki.

Eneo Lingine Mpanzu analocheza ni namba 10,eneo ambalo Yanga yupo Aziz, Pacome, Chama.

Ikaonekana ni Ngumu kwa Mpanzu kupenya katika eneo ilo.

Ili kuendeleza mahusiano mazuri ya mpira na watu wa DRC uongozi wa Yanga uka ushauri Uongozi wa Mpanzu kujaribu pale msimbazi na wakapewa mpaka namba ya mtu Gani wakufanya nae mawasiliano na Hatimaye Dili la Mpanzu lime itika.
 
Kwamba viongozi wa Yanga ni wema kiasi hicho?
 
Hapana, Yanga kule DRC wametengeneza Mahusiano mazuri na watu wa mpira na inawasaidia kufahamu wachezaji wazuri na namna ya kuwapata.
Hii ime pelekea na wao kuwasaidia watu wa mpira wa DRC pindi wakihitaji soko la vipaji vya wanasoka wao apa bongo.
Kwasasa Kuna wa Kongo man wengi wanao cheza Ligi ya NBC ambao mazingira ya kupata timu apa wamesaidiwa na watu wa soka wa apa Nchini.
 
Viongozi wa Yanga kua na connection Congo ni sawa ila hilo la kuwasadia Simba nakataa...
 
Hivi huyo mchezaji ndo mana alifeli majaribio, mtu mpaka ana mapele ndevu unasema ni 22 years, huyu ni mzeee tu
 
Back
Top Bottom