Simba SC yazidi kuimarisha kikosi chake na yamtangaza Elie Mpanzu

Kijana wa miaka 22 anaenda kupambana na Chama wa miaka 33, atamuweza kweli?
 
Mi mpira huwa siulewi hapa kwa nini mwaka jana hawakusajiri pamoja na uhitaji kuonekana.
 
Uyo ni mchezaji ambaye Uongozi wake waliwasiliana na Yanga mapema tu baada ya Dili lake na KRC GENK kukwama, lakini uongozi wa Yanga uliwashauri uongozi wa Mpanzu kujaribu kuwasiliana na Simba kwakua Gambond hakumuitaji.

Mpanzu anaweza kushambulia kutokea pembeni eneo ambalo kwasasa Yanga wanatumika mabeki.

Eneo Lingine Mpanzu analocheza ni namba 10,eneo ambalo Yanga yupo Aziz, Pacome, Chama.

Ikaonekana ni Ngumu kwa Mpanzu kupenya katika eneo ilo.

Ili kuendeleza mahusiano mazuri ya mpira na watu wa DRC uongozi wa Yanga uka ushauri Uongozi wa Mpanzu kujaribu pale msimbazi na wakapewa mpaka namba ya mtu Gani wakufanya nae mawasiliano na Hatimaye Dili la Mpanzu lime itika.
 
Kwamba viongozi wa Yanga ni wema kiasi hicho?
 
Kwamba viongozi wa Yanga ni wema kiasi hicho?
Hapana, Yanga kule DRC wametengeneza Mahusiano mazuri na watu wa mpira na inawasaidia kufahamu wachezaji wazuri na namna ya kuwapata.
Hii ime pelekea na wao kuwasaidia watu wa mpira wa DRC pindi wakihitaji soko la vipaji vya wanasoka wao apa bongo.
Kwasasa Kuna wa Kongo man wengi wanao cheza Ligi ya NBC ambao mazingira ya kupata timu apa wamesaidiwa na watu wa soka wa apa Nchini.
 
Viongozi wa Yanga kua na connection Congo ni sawa ila hilo la kuwasadia Simba nakataa...
 
Hivi huyo mchezaji ndo mana alifeli majaribio, mtu mpaka ana mapele ndevu unasema ni 22 years, huyu ni mzeee tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…