Mke wangu najua upo humu jf unasoma threads. Ukifua jezi Yangu mpya ya Simba ukaanika kamba moja na nguo zingine Wallahi nakuacha. Itifaki izingatiwe
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Unaunguza seli hai nyeupe bila kujua.
Baadae upate upungufu wa kinga mwilini
Baadae udhoofike
Mwisho ufe
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sio shida zetu. Uzi umesimamisha NchiYanga wamebuni jezi,makolo yamechanganya tu rangi..kama umekasiri njoo nipo nyumbani leo[emoji23]View attachment 2316974
Hizi Kit ni kali mazee
Yanga wamebuni jezi,makolo yamechanganya tu rangi..kama umekasiri njoo nipo nyumbani leo[emoji23]View attachment 2316974
Niulize kuhusu Ujio wa Manzoki na siyo hizo Jezi sawa? Simba SC hawajawahi kutoa Jezi Mbovu na Mbaya.GENTAMYCINE naomba maoni yako juu ya uzi huu mpya!
Hii 3rd Kit mmezingua Wakubwa.
Qmama ya kwako?kama ulaya vile qmamae...