Simba SC yazindua jezi zake kwa msimu wa 2022/23, uzi mkali sana

Simba SC yazindua jezi zake kwa msimu wa 2022/23, uzi mkali sana

Uzi mpya wa Klabu ya Simba SC[emoji1129]
Vipi mnauonaje[emoji847]?
FB_IMG_1659865453823.jpg
View attachment 2316972View attachment 2316971
 
Unaunguza seli hai nyeupe bila kujua.
Baadae upate upungufu wa kinga mwilini
Baadae udhoofike

Mwisho ufe
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Jezi za kike ntashangaa mwanaume kamili kuvaa jezi km hizo.
 
Uzi umetulia sana huu. Alafu nimependa hiyo nembo ya mdhamini hapo inaonekana vyema, na inavutia.
 
Back
Top Bottom