Simba SC yazindua jezi zake kwa msimu wa 2022/23, uzi mkali sana

nzuri sana.inapendeza .ningenunua tatizo uwa sipendi kujulikana Mimi ni timu gani.
 
Wape sifa yao,huu uzi ni mkali jamani.Au ndiyo mambo yetu lazima tutie neno kila sehemu
Mkuu hapo kuna ukali Gani, ukiona jezi ya mqzoezi ya yanga ndo jezi ya simba ya away hahahahaha Maisha yanaenda Kasi sana.

Iyo jezi namba 3 hahahaa n dera mzee baba hakuna ubunifu hapo
 
Kuzuia kuvuja kwa jezi si jambo dogo. Awamu hii wametisha zaidi
Jezi Ina vuja vipi wakat hata kupatikana imekuwa mbine jezi imefika usiku asubuhi inatangazwa (tena imefika kwa mbinde mnoooo)
 
Utopolo wote muje muje muone tofauti ya jezi na matambala yenu yenye maduka makaburi masanamu jezi kali hadi kero
Acha kujipa moyo hakuna jezi hapo ni upumbavu mtupu utalinganisha na jezi Gani ya mabingwa

Jezi ya mazoezi ya yanga ndo jezi namba 2 y'ako alafu unafurahi kweli kwamba bonge la jezi
 
Kiukweli Mimi kama shabiki wa Simba Kindakindaki ila kwa huu uzi tumepigwa, sijaona ubunifu wa maana kwenye hizi jezi..Hiyo nyekundu haina tofauti na ile ya liverpool ya 2020/2021, nyeupe nazo hazijachangamka..hizo 3rd kit ndio sielewi Fred alimaanisha nini kuchanganya ranginza ajabu ajabu

All in All hayo ni mawazo yangu sio lazima yafanane na wengine.. Simba tunahitaji mbunifu mzuri wa Jersey classic

Rate yangu 4/10
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…