Waminyato
JF-Expert Member
- Jun 22, 2022
- 2,197
- 4,525
hao samaki wamependeza ni wamapambo wanafaa hata kupamba nyumba yako,kwakweli jezi za Simba ni nzuri sana.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hao samaki wamependeza ni wamapambo wanafaa hata kupamba nyumba yako,kwakweli jezi za Simba ni nzuri sana.
Unataka Simba walingane na Arsenal ?Wabunifu wetu bado sana. Arsenal kwa jezi kali wako mbali sana
kwa hiyo tukusaidie niniJezi kama kopo la redbulll hahahahaha
inakusaidia nini kutojulikana?nzuri sana.inapendeza .ningenunua tatizo uwa sipendi kujulikana Mimi ni timu gani.
Jamani lijezi libaya hili, yaani limekaaa kama SNAP-CROTCH LEOTARD....Hizi Kit ni kali mazee
Afu we jana ulikuwa wapi kusheherekea ubingwa?Jamani lijezi libaya hili, yaani limekaaa kama SNAP-CROTCH LEOTARD....
Hii Mada inahusu simba SC siyo arsenal.Wabunifu wetu bado sana. Arsenal kwa jezi kali wako mbali sana
Kwani hizi jezi ni kwa ajili ya watu wa Dar tuu?Umeongea point. Watakwambia shida joto la dar. Mikono mirefu wangeuza sana hata kama ni 40
Jezi ambazo hazihitaji mambo ya "pale tulimaanishaa..", hakuna kujitetea sana.Kama hizi jezi ni kali basi tuna safari ndefu sana.
Ule msimu ilivuja baada ya kumuweka karibu Mwijaku ambaye alikuwa ni chawa wa Vunja.Kuzuia kuvuja kwa jezi si jambo dogo. Awamu hii wametisha zaidi
Mkuu hapo kuna ukali Gani, ukiona jezi ya mqzoezi ya yanga ndo jezi ya simba ya away hahahahaha Maisha yanaenda Kasi sana.Wape sifa yao,huu uzi ni mkali jamani.Au ndiyo mambo yetu lazima tutie neno kila sehemu
Jezi Ina vuja vipi wakat hata kupatikana imekuwa mbine jezi imefika usiku asubuhi inatangazwa (tena imefika kwa mbinde mnoooo)Kuzuia kuvuja kwa jezi si jambo dogo. Awamu hii wametisha zaidi
Acha kujipa moyo hakuna jezi hapo ni upumbavu mtupu utalinganisha na jezi Gani ya mabingwaUtopolo wote muje muje muone tofauti ya jezi na matambala yenu yenye maduka makaburi masanamu jezi kali hadi kero
Iyo jezi namba 3 hata Mie nilihisi wazee wa ukrainiJezi ina mirangi rangi kama ya wale wa jinsia moja