Prince Kunta
JF-Expert Member
- Mar 27, 2014
- 22,797
- 28,904
Duh mkuu una huruma sana yaani ume rate 4/10? Mimi nawapa 1/10Kiukweli Mimi kama shabiki wa Simba Kindakindaki ila kwa huu uzi tumepigwa, sijaona ubunifu wa maana kwenye hizi jezi..Hiyo nyekundu haina tofauti na ile ya liverpool ya 2020/2021, nyeupe nazo hazijachangamka..hizo 3rd kit ndio sielewi Fred alimaanisha nini kuchanganya ranginza ajabu ajabu
All in All hayo ni mawazo yangu sio lazima yafanane na wengine.. Simba tunahitaji mbunifu mzuri wa Jersey classic
Rate yangu 4/10
Kiukweli Mimi kama shabiki wa Simba Kindakindaki ila kwa huu uzi tumepigwa, sijaona ubunifu wa maana kwenye hizi jezi..Hiyo nyekundu haina tofauti na ile ya liverpool ya 2020/2021, nyeupe nazo hazijachangamka..hizo 3rd kit ndio sielewi Fred alimaanisha nini kuchanganya ranginza ajabu ajabu
All in All hayo ni mawazo yangu sio lazima yafanane na wengine.. Simba tunahitaji mbunifu mzuri wa Jersey classic
Rate yangu 4/10
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] unateseka ukiwa wapi mwana utopoloooo.Kiukweli Mimi kama shabiki wa Simba Kindakindaki ila kwa huu uzi tumepigwa, sijaona ubunifu wa maana kwenye hizi jezi..Hiyo nyekundu haina tofauti na ile ya liverpool ya 2020/2021, nyeupe nazo hazijachangamka..hizo 3rd kit ndio sielewi Fred alimaanisha nini kuchanganya ranginza ajabu ajabu
All in All hayo ni mawazo yangu sio lazima yafanane na wengine.. Simba tunahitaji mbunifu mzuri wa Jersey classic
Rate yangu 4/10
Mama kimbo sc[emoji23][emoji23]sijamtaja mtu plz[emoji23]View attachment 2317433