Simba SC yazindua jezi zake kwa msimu wa 2022/23, uzi mkali sana

Kiukweli Mimi kama shabiki wa Simba Kindakindaki ila kwa huu uzi tumepigwa, sijaona ubunifu wa maana kwenye hizi jezi..Hiyo nyekundu haina tofauti na ile ya liverpool ya 2020/2021, nyeupe nazo hazijachangamka..hizo 3rd kit ndio sielewi Fred alimaanisha nini kuchanganya ranginza ajabu ajabu

All in All hayo ni mawazo yangu sio lazima yafanane na wengine.. Simba tunahitaji mbunifu mzuri wa Jersey classic

Rate yangu 4/10
Duh mkuu una huruma sana yaani ume rate 4/10? Mimi nawapa 1/10
 
Eti jezi zimeisha,haya mmejitengenezea maumivu wenyewe.
images (55).jpeg
 
Pole kijana,kunywa maji mengi itakusaidia
Kiukweli Mimi kama shabiki wa Simba Kindakindaki ila kwa huu uzi tumepigwa, sijaona ubunifu wa maana kwenye hizi jezi..Hiyo nyekundu haina tofauti na ile ya liverpool ya 2020/2021, nyeupe nazo hazijachangamka..hizo 3rd kit ndio sielewi Fred alimaanisha nini kuchanganya ranginza ajabu ajabu

All in All hayo ni mawazo yangu sio lazima yafanane na wengine.. Simba tunahitaji mbunifu mzuri wa Jersey classic

Rate yangu 4/10
 
Sijawahi kununua jezi ya simba ila safari hii nitanunua.
 
Kiukweli Mimi kama shabiki wa Simba Kindakindaki ila kwa huu uzi tumepigwa, sijaona ubunifu wa maana kwenye hizi jezi..Hiyo nyekundu haina tofauti na ile ya liverpool ya 2020/2021, nyeupe nazo hazijachangamka..hizo 3rd kit ndio sielewi Fred alimaanisha nini kuchanganya ranginza ajabu ajabu

All in All hayo ni mawazo yangu sio lazima yafanane na wengine.. Simba tunahitaji mbunifu mzuri wa Jersey classic

Rate yangu 4/10
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] unateseka ukiwa wapi mwana utopoloooo.
Poleeeeeeh.
 
Back
Top Bottom