Dr hyperkid
JF-Expert Member
- Jun 7, 2019
- 12,679
- 25,646
Mikono mirefu kwanini hakuna shida nini
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Lakini pia zile za majirani tutazitumia kuvaa kwenye sikukuu ya HalloweenKamati ya vazi la Taifa msijisumbue. Vazi la nchi hili hapa tayari
nafikiri atazitoa au labda next week maana hapo kuna kofia tu bado accesories nyingine hata mabegi, zile polo form six na za officials bado mengiMikono mirefu kwanini hakuna shida nini
Wape sifa yao,huu uzi ni mkali jamani.Au ndiyo mambo yetu lazima tutie neno kila sehemu
aisey imeshangaza walivyoweza kubana mianya safari hii wakawa wanaachia ma feki yana circulate mtandaoniJersey ya uto ilivuja ila mnyama Siri bado kubwa Sana hongera kwa uongozi
Sasa wee humnunulii gran kid ako apendezee??
apo sawanafikiri atazitoa au labda next week maana hapo kuna kofia tu bado accesories nyingine hata mabegi, zile polo form six na za officials bado mengi
Hiyo shape ndy bab kubwaaa mzeeUzi mkali balaaa[emoji91][emoji91] ila wamezngua hako kashep tu ka chin wangeweka kawaida tu chin zngekuwa unyama zaid
Aje atoe nenoGENTAMYCINE naomba maoni yako juu ya uzi huu mpya!
Tena Kama hyo third kit lazima upokelewe kwa heshimaWiki inayokuja naenda kutoa posa, siendi na chochote zaidi ya jezi ya mnyama....