Simba SC yazindua jezi zake kwa msimu wa 2022/23, uzi mkali sana

Simba SC yazindua jezi zake kwa msimu wa 2022/23, uzi mkali sana

Yaan hadi huyu chawa wao na hater mkubwa wa lunyasi, ila amekubali na kunyoosha mkono, nani wa kupinga tena??

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 2316898
Vunjabei atauza sana ndani ya hizi siku 7.
Kuanzia leo hadi siku ya siku ya game.
Najua kesho jezi zitakuwa mikoani tayari
 
Demigod lopolopo njoo huku uone jezi sio ile migaguro yenu mizito hadi mnafungwa goli dk ya kwanza
 
Jersey kali sana hii ndiyo kuonyesha ukubwa kwa kuwa na vitu vya kiwango na ubora na siyo kelele sijui nini wa kihistoria
 
Hii jezi kuinunua 35k ni kumuibia Vunja bei asee,inatakiwa iuzwe hata laki 1[emoji4][emoji4][emoji4][emoji4]
JamiiForums982652835.jpg
 
Naiomba serikali tukufu ya Mama yetu Mpendwa Rais Samia ipitishe jezi ya Simba kama vazi la Taifa kama haitoshi ziwe rasmi kuvaliwa ofisi za umma siku za kazi....
 
Back
Top Bottom