Simba SC yuko wapi Pape Osman sakho?

Joined
Oct 26, 2021
Posts
99
Reaction score
294
Yuko wapi yule mshambuliaji ambaye tuliaminishwa na kamati ya usajili ya klabu ya Simba kuwa ni mahiri katika kuzifumania nyavu za mpinzani?

Alisikika kiongozi mmoja wa tawi la Simba akiwaminisha kuwa Mshambuliaji huyu akikosa goli analia[emoji23] Yaaan hataki mchezo kabisa. Yupo wapi sasa?!
 
Simba tulibugi kuleta huyu muuza mkaa huko kwao.
Haya ndio matokeo ya kuuza wachezaji na kununua mabasi
Msimu uliopita alikuwa MVP huko kwenye ligi ya nchini kwao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…