LegalGentleman
Member
- Oct 26, 2021
- 99
- 294
Yuko wapi yule mshambuliaji ambaye tuliaminishwa na kamati ya usajili ya klabu ya Simba kuwa ni mahiri katika kuzifumania nyavu za mpinzani?
Alisikika kiongozi mmoja wa tawi la Simba akiwaminisha kuwa Mshambuliaji huyu akikosa goli analia[emoji23] Yaaan hataki mchezo kabisa. Yupo wapi sasa?!