SAKHO ni Mchezaji mzuri mno usisikilize maneno ya hao KABWILI FC. Kwa sasa yuko majeruhi kama ilivyo kwa MUGALU na LWANGA. Hao wote watatu wakipona utawaona kwenye kikosi cha kwanza kuwatoa MKUDE, MORRISON, KAGEREMsimu uliopita alikuwa MVP huko kwenye ligi ya nchini kwao.
Duh!!!Simba tulibugi kuleta huyu muuza mkaa huko kwao.
Haya ndio matokeo ya kuuza wachezaji na kununua mabasi
Tayari Sakho keshapona yupo uwanjani anakiwasha.Sakho majeruhi ila soon atakaa sawa kukiwasha.
Hebu Ongeza sauti sauti yake GideUtopwinyoNdiyo shida ya wachezaji wa kuokoteza
Majibu ya maswali yako yameshajibiwaYuko wapi yule mshambuliaji ambaye tuliaminishwa na kamati ya usajili ya klabu ya Simba kuwa ni mahiri katika kuzifumania nyavu za mpinzani?
Alisikika kiongozi mmoja wa tawi la Simba akiwaminisha kuwa Mshambuliaji huyu akikosa goli analia[emoji23] Yaaan hataki mchezo kabisa. Yupo wapi sasa?!