Noti bandia
JF-Expert Member
- May 3, 2020
- 2,684
- 4,315
Najua unamsongo wa mawazo. Ntakuja kufa kwa kushabikia mitimu ya ajabuAndika vizuri sasa "Hv na ht" ndiyo nini?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Najua unamsongo wa mawazo. Ntakuja kufa kwa kushabikia mitimu ya ajabuAndika vizuri sasa "Hv na ht" ndiyo nini?
Mosimane analipwa tshs 300,000,000/= kwa Mwezi, hela ndefu sana hiyo sio wa kumuota.Lakini pia anapenda challenge kubwa kubwa Yanga aje kufanya nini?Soka wanalocheza Simba wala sijaliona toka kwa kocha Kaze.
Yanga kuleta kocha mpya wakati ligi inaelekea ukingoni ni hatari zaidi.
Nawashauri wamrudishe kundini Mwinyi Zahera na Mwambusi ambao wanawafahamu vizuri wachezaji wa Yanga.
Japo pia wanaweza kuwafikiria Ndairagije, Meck Mexime au Kocha wa Al Ahly ambae nae anakaribia kutimuliwa hivi karibuni na alishaonekana akifanya mazungumzo na Senzo.
Pole sana kwa kuwa una akili finyu.Najua unamsongo wa mawazo. Ntakuja kufa kwa kushabikia mitimu ya ajabu
Hujaelewa wapi ndugu..Mkuu leo nimekuelewa ila umekosea kidogo tu utabiri wako
Ule utabiri wa majina yatakayotolewa kafara pale kidimbwi fcHujaelewa wapi ndugu..
Hajui kupika biriani huyo! Hata simba kids hafai?Wakuu,
Najua hatuna kurugenzi ya ufundi! Simba mchukueni Kaze! Ni bonge la kocha, Yanga wamemtimua kuficha udhaifu wa kiutawala na usajili mbovu!
Kaze abakie Bongo na Simba tafadhali sana!
Nawakilisha.
Kaze awe nani Simba, maana kua kocha hawezi labda kocha wa Simba NWakuu,
Najua hatuna kurugenzi ya ufundi! Simba mchukueni Kaze! Ni bonge la kocha, Yanga wamemtimua kuficha udhaifu wa kiutawala na usajili mbovu!
Kaze abakie Bongo na Simba tafadhali sana!
Nawakilisha.
Tutampeleka simba queens akasaidiane na Mgosi!Wazo zuri...atatufaa kwenye timu za vijana (watoto) kule chini maana huyo ni mkuza vipaji nasikia.
Hata angekuwa analipwa milioni 30 utopolo wasingeweza kumchukua maana mshahara wa miezi miwili ni malipo ya Tambwe na chenji inabakiMosimane analipwa tshs 300,000,000/= kwa Mwezi, hela ndefu sana hiyo sio wa kumuota.Lakini pia anapenda challenge kubwa kubwa Yanga aje kufanya nini?
Mbona yamejaa sana huku mitandaoni, wakwanza ni yule mzee wamempachika shutuma eti ana kadi ya Simba, sijui walimsachi? mwingine ni yule kitambi flani toka ule mkoa wanakula mbwa nae anawindwa...Ule utabiri wa majina yatakayotolewa kafara pale kidimbwi fc
Mbona yamejaa sana huku mitandaoni, wakwanza ni yule mzee wamempachika shutuma eti ana kadi ya Simba, sijui walimsachi? mwingine ni yule kitambi flani toka ule mkoa wanakula mbwa nae anawindwa...