Saguda47
JF-Expert Member
- May 1, 2016
- 11,258
- 20,386
Mawazo ya vyura 🐸🐸🐸🐸yaheshimiwe jamani!Yanga tajiri kuliko mikia..udhamini wa Sportpesa,Taifa gas na GSM ni mkubwa kuliko Pesa za Mo za kutoa mfukoni
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mawazo ya vyura 🐸🐸🐸🐸yaheshimiwe jamani!Yanga tajiri kuliko mikia..udhamini wa Sportpesa,Taifa gas na GSM ni mkubwa kuliko Pesa za Mo za kutoa mfukoni
Hakuwahi kuwa mwekezaji kamwe! Alijaribu kuwa mkodishwaji ikashindikana kutokana na matatizomanji
Manji YuosoufNitajie mwekezaji mmoja tu ambaye aliyewahi kuondoka na timu ikabaki ombaomba
Tuambie ya UEFA ikoje na akina Glazer na AbramovichHili suala la kutumia hela ya mfukoni kuendesha timu CAF hawana sheria inayothibiti suala hili kama UEFA ?
Hao uliotaja ni wamiliki wa timu sio wawekezaji.Tuambie ya UEFA ikoje na akina Glazer na Abramovich
Kwa hiyo Simba haina mwekezaji kwa tafsiri yako NO YOU NEED TO STUDY MORE BUT kama ni Ushabiki ok fineHao uliotaja ni wamiliki wa timu sio wawekezaji.
Its a waste of time to argue with the likes of Haji Manara
Dewji hajafanya uwekezaji wowote mpaka sasa na anakiri hivyo na kusema wazi pesa anatpa mfukoni na sio ya uwekezaji, muwe mnafutilia sio kupiga piga kelele tuKwa hiyo Simba haina mwekezaji kwa tafsiri yako NO YOU NEED TO STUDY MORE BUT kama ni Ushabiki ok fine
Kijana usipende Sana ushabiki we umetolea mfano abramovic na glazer nimekusahihisha kwamba hao sio wawekezaji Bali hao ni wamiliki wa team au ujui tofauti Kati ya mmliki na mwekezaji?Kwa hiyo Simba haina mwekezaji kwa tafsiri yako NO YOU NEED TO STUDY MORE BUT kama ni Ushabiki ok fine
Kijana usipende Sana ushabiki we umetolea mfano abramovic na glazer nimekusahihisha kwamba hao sio wawekezaji Bali hao ni wamiliki wa team au ujui tofauti Kati ya mmliki na mwekezaji?
Kwani kwenye post yangu nimesema me ni mshabiki wa yanga mpaka uniite me ni mshabiki wa yanga?au Kuna sheria yoyote ya kujiunga jamiiforum ni lazima uwe Simba au yanga? kwanini usijikite kwenye hoja kuliko ku assume mtoa mada ni timu fulani je nikija na post yakusifia Simba je utasema me ni mshabiki wa timu ipi?(gongo waziii) haya tunasubiri utupe tofauti kati ya mmiliki na mwekezaji
Yanga tajiri kuliko mikia..udhamini wa Sportpesa,Taifa gas na GSM ni mkubwa kuliko Pesa za Mo za kutoa mfukoni
Yanga thamani yenu ni mchango ya kwenye sahani kuaongezea kwenye jezi mana GSM amewasahidia kidg vingine vyote sio vyenu jengo lile la pale mtoni la mama karume amna maamuzi nayo na uwanja mmepewa kigamboni ni cha ccm makonda akawabeba haya onyesheni chenu ndo mana manji amekataliwa sio na wanayanga hapana wenye mali zao akaona kumbe timu inamilikiwa na watu kitambo mnadanganywa timu ya wananchi wakati mama karume anawaangalia tu
Na timu inaongozwa na Mwinyi Zahera, akina msolwa wapo jina pale. Mchezaji anadai maslahi yake, wanangoja maamuzi ya Zahera.
Grazier shareholding from 3.17% to around 15%, which he almost doubled in the year up to October 2004. His acquisition of John Magnier and J. P. McManus's 28.7% stake in May 2005 pushed his own up to around 57%, well over the 30% threshold that would force him to launch a takeover bid. A(gongo waziii) haya tunasubiri utupe tofauti kati ya mmiliki na mwekezaji
ManjiNitajie mwekezaji mmoja tu ambaye aliyewahi kuondoka na timu ikabaki ombaomba
Grazier shareholding from 3.17% to around 15%, which he almost doubled in the year up to October 2004. His acquisition of John Magnier and J. P. McManus's 28.7% stake in May 2005 pushed his own up to around 57%, well over the 30% threshold that would force him to launch a takeover bid. A