Simba sio timu tajiri

Kwa hiyo Simba haina mwekezaji kwa tafsiri yako NO YOU NEED TO STUDY MORE BUT kama ni Ushabiki ok fine
Dewji hajafanya uwekezaji wowote mpaka sasa na anakiri hivyo na kusema wazi pesa anatpa mfukoni na sio ya uwekezaji, muwe mnafutilia sio kupiga piga kelele tu
 
Kwa hiyo Simba haina mwekezaji kwa tafsiri yako NO YOU NEED TO STUDY MORE BUT kama ni Ushabiki ok fine
Kijana usipende Sana ushabiki we umetolea mfano abramovic na glazer nimekusahihisha kwamba hao sio wawekezaji Bali hao ni wamiliki wa team au ujui tofauti Kati ya mmliki na mwekezaji?
 
(gongo waziii) haya tunasubiri utupe tofauti kati ya mmiliki na mwekezaji

Kwani kwenye post yangu nimesema me ni mshabiki wa yanga mpaka uniite me ni mshabiki wa yanga?au Kuna sheria yoyote ya kujiunga jamiiforum ni lazima uwe Simba au yanga? kwanini usijikite kwenye hoja kuliko ku assume mtoa mada ni timu fulani je nikija na post yakusifia Simba je utasema me ni mshabiki wa timu ipi?
 
Na timu inaongozwa na Mwinyi Zahera, akina msolwa wapo jina pale. Mchezaji anadai maslahi yake, wanangoja maamuzi ya Zahera.
 
Na timu inaongozwa na Mwinyi Zahera, akina msolwa wapo jina pale. Mchezaji anadai maslahi yake, wanangoja maamuzi ya Zahera.

Ahahahahahahahaha wanajua hawa timu imewashinda inaendeshwa na mcongo sasa hivi alafu wanasimama kuisema simba yenyewe utaratibu mzuri ahahahahaha umenichekesha ndugu yng yanga wamechanganyikiwa wanatafuta sababu ya kuficha aibu ya 2-0 uchagani
 
(gongo waziii) haya tunasubiri utupe tofauti kati ya mmiliki na mwekezaji
Grazier shareholding from 3.17% to around 15%, which he almost doubled in the year up to October 2004. His acquisition of John Magnier and J. P. McManus's 28.7% stake in May 2005 pushed his own up to around 57%, well over the 30% threshold that would force him to launch a takeover bid. A
 
Ahsante kwa elimu brother: kumbe hii ndo tofauti ya mmiliki (owner) na mwekezaji (Investor)???? shabash!!!!

Wache wawe na akili hivyohivyo ili akili zao zidumae kama siku za nyuma walivyodumaa wanayanga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…