lee Vladimir cleef
JF-Expert Member
- Feb 5, 2013
- 9,571
- 35,475
Beki wake mahiri kabisa wa katikati kwa wakati huo,na akiwa beki pekee tegemezi wa Taifa Stars Ndugu George Masatu akiwa na Timu ya Taifa alimdhibiti vilivyo mchezaji hatari Kabisa Afrika na Duniani akiwa na Timu yake ya Taifa huko kwao Liberia ndugu George Opong wear.
Wakati huo George Wear alikua akichezea klabu bingwa ya Italy na Kilabu bingwa ya Ulaya na klabu bingwa ya Dunia AC Milan.
Yeye mwenyewe George Wear alikua mchezaji Bora wa Dunia.
Lakini amini usiamini Alidhibitiwa na George Magere Masatu hakuweza kufunga hata bao moja.
Baada ya mechi akamfuata Masatu akamuuliza anachezea Timu gani Ulaya.
Alishangaa Sana kwa uwezo wa Masatu kutocheza Ulaya.
George Wear aliitoa Dola Mia tano akampa George Masatu kwa kuweza kumtuliza dakika 90.