Simba Sport Club stadium Concept

Simba Sport Club stadium Concept

Venus Star

JF-Expert Member
Joined
Dec 6, 2018
Posts
26,519
Reaction score
78,311
Sisi wana simba tunapenda mambo mazuri ya kisasa. Ninapenda kuwaletea wanandugu Concept ya uwanja wetu tutaotegemea kuanza kuujenga mwaka 2022.
Ruhusa Utopolo kumwaga povu.

1639897194028.png


1639897300038.png


1639897401805.png
 
Horizontal Picture. Utopolo miaka hii mtatukoma. Simba Sports Club Stadium
1639897743137.png


1639897945634.png


1639898123242.png
 
Wahenga walisema "Ndoto za Alinacha". Leo ndio nimeelewa maana yake.
 
Hivi mmiliki atakuwa ni nani kati ya Simba na kampuni ya MeTl?
IMG_20211219_203831.jpg
 
Back
Top Bottom