Simba Sport Club: Taarifa kwa umma

Kwahiyo wewe unaangaliziwa na huyo mtangazaji?Ninyi ndiye wale wanatazama soka wakiwa uwanjani na vi radio masikioni.Daa!Safari bado ni ndefu sana.
 
Bwana Nanara hii taarifa ya club ya Simba au mashairi ya singeli
 
Lile goli ka mtu anacheza american footbal!!! hii ni soccer aisee... Anyway sio issue haya huwa yanatokea
 

Amini nakuambia,Simba mtaanza kushikana uchawi sio muda mrefu mkianza safari za mikoani. Huu mpira wa magazeti ndio unaotuaribu Simba na Yanga. Tungoje huko mkoani tuone mlolongo wa malalamiko kwa marefa na tff. Natamani safari hii Simba nae apate nafasi pia ya kuiwakilisha nchi ili tushuhudie uzoefu wao wa kucheza na historia.
 

Wanadhani haya mambo yameanza jana hawajui makosa ya refa na wachezaji ndio miongoni mwa radha za soka duniani.

 


Sina hakika na aliyeandika taarifa hii kwa maana ya kiongozi aliyehusika....lakini ni dhahiri kwa yeyote aliyeandika kiwango chake cha elimu, uelewa wa issues ni cha chini kabisa....Ni aibu kwa uongozi wa Simba kutoa taarifa iliyoandikwa kwa kiwango hiki...Hata kama Simba wanaweza kuwa na hoja lakini hoja hiyo haiwezi kuwekwa kwa kiwango hiki....
 
ni mtu mpuuzi tu ambaye atasapoti maamuzi ya refa Wa hovyo kuwahi kutokea katika nchi yetu ...refa Wa hovyo sana..hata ligi ya mchangani ya (kuku) hawezi kuchezesha hovyo kabisa...hovyo kabisa..

na Yanga mshukuruni huyo refa wenu la sivyo goli 5 zingejirudia
 
Kwenye comments nyingi hapa utagundua kuwa ushabiki bado unaendelea badala ya kujikita kwenye hoja
 
Hahahaha kumbe naww simba eh
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] like serious...
Hii barua sio kwa umma ,ni kwa mshikaji wa mwandishi..
Uandishi gani hivi ovyo kwa public...
Mwandishi kamix soka,siasa,chuki,povu,mapenz binafsi na hasira kasahau yanayotokea uwanjan yanabak uwanjan na kamat zake..
Public sympathy kwnye mpira hakunaga...
Jbu n moja..next time team yake wafunge goli la mpira wa pete
 

Punguza jazba mkuu,ni kweli refa kakosea tena sana tuu na tunawataka tff wamchukulie hatua stahiki ili makosa yapungue. Hoja hapa ni uvumilivu wa kimichezo ambao mashabiki walionyesha baada ya refa kukosea. Naamini zile vurugu zilichangia kuwatoa wachezaji mchezoni na kuwaathiri kisaikolojia. Mwenye uwezo ni mwenye uwezo tuu yangefungwa kumi pale na refa akalikataa moja ubao leo ungeendelea kusoma 1-9 mkuu. Michezo ni furaha, urafiki na afya bora.
 

Mmmmhhhhh
 
Baada ya miaka kadhaa ataomba ridhaa ya kuongoza nchi.

Tunaendelea kuwapima.
 
Kama huyu Jamaa ndiye alichezesha ile mechi ya Yanga na Coastal basi lazima TFF wahusike na hizo vurugu.

Sio mara ya kwanza timu moja kupoteza,lakini je ni mara zote hizo watu wanaanzisha vurugu? kama kulishakuwa na viashiria na wahusika kupuuzia kwa sababu zoa binafsi basi nao wahusishwe.
 
Simba ijifunze ustaarabu hii tabia ya kung'oa viti haikubaliki nashauri adhabu kali itolewe kwa simba lakini pia unafanya hayo kisa mpira umeguswa kwa mkono kisha goli kufungwa?? Ni aibu kwao kwani leo hii Arsenal imepata goli sekunde za mwisho dhidi ya burnley tena kwa kutumia mkono wa kosielny na hakuna hata shabiki aliyeharibu au kung'oa kiti hizi ni tabia za kihuni zinapaswa hatua kali zichukuliwe dhidi ya simba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…