Simba sport club yaandika historia, wazindua kadi mpya

Simba sport club yaandika historia, wazindua kadi mpya

RAHA KAMILI

JF-Expert Member
Joined
Dec 5, 2014
Posts
203
Reaction score
83
[FONT=Georgia, Times New Roman, serif]Afisa MtendajiMkuuwa EAG Group Imani Kajula Rais wa Simba Sport Club Evans Aveva Pamoja na Makamu wa Rais wa Club ya Simba Geofrey Nyange ‘Kaburu Wakiwa wameshika Mfano wa Kadi ya Club Hiyo waliyoizindua Leo.[/FONT][FONT=Georgia, Times New Roman, serif]Klabu ya Simba leo hii imeandika historia kwa kuzindua Kadi Mpya za Wanachama ambazo zinamwezesha kila Mwanachama wa Simba kupata bima ya maisha hadi Tsh 250,000 ikiwa atafiwa na mwenza au mtoto au yeye mwenyewe kupitia bima ya maisha iitwayo Simba Pamoja. Pia Simba leo hii imezindua Kadi za watoto yaani Simba Cubs. [/FONT][FONT=Georgia, Times New Roman, serif]http://2.bp.blogspot.com/-l7lKIAqGw88/VZPhgTVnGQI/AAAAAAAAHbc/rr1pQ1_OIWc/s1600/IMGS7589.JPG[/FONT][FONT=Georgia, Times New Roman, serif]Rais wa Simba Sport Club Evans Aveva Akimkabidhi Mtoto Iqram Ally Kadi ya Simba Cubs waliyoizindua leo wanaoshuhudia ni [FONT=Georgia, Times New Roman, serif]Afisa Mtendaji Mkuu wa EAG Group Imani Kajula (kulia) Pamoja na [/FONT][FONT=Georgia, Times New Roman, serif]Makamu wa Rais wa Club ya Simba Geofrey Nyange[/FONT]
[/FONT]

[FONT=Georgia, Times New Roman, serif]Akizungumza wakati wa uzinduzi Rais wa Simba Evans Aveva alisema ‘’Simba inaendeleza falsafa yetu ya utendajii kifanya kazi ‘’maneno machache vitendo vingi’’, baada ya kuboresha upatikanaji wa taarifa kupitia mtandao kwa kuzindua tovuti yenye taarifa na huduma mbalimbali ndani yake, leo tumewaita hapa kuandika historia mpya kwa wana Simba na hususani wale wanaota ka kuwa wanachama wa Simba’’.
[/FONT]

[FONT=Georgia, Times New Roman, serif]Aliongeza kusema ‘’ Simba inapenda kuwajulisha kuwa sasa mpenzi wa Simba anayetaka kuwa mwanachama anaweza kuomba kupata kadi ya wanachama kupitia tovuti ya Simba yaani www.Simbasports.co.tz . Napenda mtambue hii ni historia katika ukanda huu kuweza kutumia teknojia kufikia wanachama, Sisi ni wakisa sana tunaona mbele!.
[/FONT]

[FONT=Georgia, Times New Roman, serif]http://4.bp.blogspot.com/-MLhcrW1_dkw/VZPhg6KHHvI/AAAAAAAAHbg/jhFvWMxw9Zk/s1600/IMGS7413.JPG[/FONT][FONT=Georgia, Times New Roman, serif]AfisaMtendajiMkuuwa EAG Group Imani Kajula (Kulia) Akielezea Jambo Akiwa Ameambatana na Rais wa Simba Sport Club Evans Aveva (katikati) Wakati wa Uzinduzi wa Kadi Hiyo ya Simba Sport Club Pamoja na Makamu wa Rais wa Club ya Simba
Geofrey Nyange ‘Kaburu​

[/FONT]

[FONT=Georgia, Times New Roman, serif]
clip_image002.jpg

[/FONT]

[FONT=Georgia, Times New Roman, serif]Kwa upande wake Afisa Mtendaji Mkuu wa EAG Group ambao ni washauri watekelezaji wa mikakati ya masoko na biashara Imani Kajula alisema
[/FONT]

[FONT=Georgia, Times New Roman, serif]‘’ Uanzishwaji wa Kadi ya Simba Cubs itawawezesha watoto sio tukutambuliwa kuwamemba wa Simba, bali pia kupata punguzo kubwa au kuingia bure kwenye matukio yanayo andaliwa na Simba Sports Club. Pia maduka mbalimbali yatatoa punguzo kwa watoto wenye Simba Cub Card.
[/FONT]

[FONT=Georgia, Times New Roman, serif]Wote mna jua fika kuwa mapenzi hujengwa, Simb aina lenga kujenga msingi imara wa kuendeleza wanachama na wapenzi wake’’.
[/FONT]
 
simba 5 yanga 0, mi huwa pakiwa na mechi ya simba na yanga hata niko mombasa lazima nije dar kuona mnyama akifanya kazi yake
 
Hiki ndo wanakiweza,wale
wengine walikuja na wimbo wa timu sijui uliishia wapi?

Wadau tunataka matokeo uwanjani kwanza.
 
Team yenyewe ya Taifa imeweka records ya kuwa kibonde na imekuwa ikivunja records zake yenyewe.Mara jezi mpyaa mara nini.

Sasa hizi clubs hazina mpyaa,watu wanataka matokeo uwanjani.

Waulize hao Simba na Yanga,vipi wale wachina wa tandale waliokuwa wana pima uwanja wapo wapi?
 
Huu ni ulaji mwingine kwa Aveva & co.. Kama sio kupiga kupitia mradi huu basi kujihalalishia kwa wanachama na wapenzi wa Simba kuendelea kwa uwepo wao kwenye uongozi pamoja na matokeo mabovu ya uwanjani..

Lakini sishangai.. Sekta zote zimeingiliwa siku hizi.. Kama TFF kwa mbwembwe na shamra shamra wametangaza kubadilisha aina ya jezi za Taifa Stars siku chache tu baada timu hiyo kututia aibu Africa ya kusini, hii ya Simba ni muendelezo tu wa haya mauza uza..
 
Back
Top Bottom