PierreLiquid
JF-Expert Member
- Oct 16, 2019
- 596
- 2,298
Shida ya mashabiki wa kibongo ni kuongea bila kutafakari, hivi kwa akili zako ulitaka Simba ichukue basi la million zaidi ya mia nne kwa ajili tu ya kusherekea ubingwa.Hii iwafikie viongoz wote wa club pendwa ya Simba sports club. Hii sio sawa hii sio sawa kabisaa kwa adhi ya club ya Simba Mimi ni shabiki tena kindaki wa hii timu. Mara ya mwisho mimi nilikodi canter kama hii ikanichukulia vitu vya ndani kutokea g/mboto mpaka mbezi kwa Tsh 80,000/= za kitanzania.
Hili ndio gari wanaloliita la wazi liliwabeba wachezaji wa Simba Leo kutokea airport kuelekea makao makuu ya club msimbazi k.kooView attachment 1526498
Shida ya mashabiki wa kibongo ni kuongea bila kutafakari, hivi kwa akili zako ulitaka Simba ichukue basi la million zaidi ya mia nne kwa ajili tu ya kusherekea ubingwa.
Yaani unataka ufananishe maisha ya Real Madrid na maisha ya Simba.
Kwa uchumi gani wa Simba hadi ifanye hivyo.
Au utasema wangekodi gari je kampuni gani hapa bongo ina mabasi ya aina hiyo.
Simba haina pesa kiasi hicho mnavyofikiria, Unapohoji kitu fikiria pande zote sio tu kupinga kila kitu bila kufikiria
Walahi natamani ungeniona vile nacheka baada ya kusoma hili gazeti lako. Lol.Ivi yale Magari ya Wazi yanayobeba Timu za Ulaya ambalo na wewe ulitegemea ulione kwa Simba Tanzania lipo japo moja? Au yanapatikana wapi hapa Tanzania?
Mambo mengine tusiangalie ushabiki tu au nawewe uonekane umeanzisha Uzi! Hata kwenye Matamasha yetu na Mikutano ya Vyama vya Siasa tunatumia Malori na Macanter kwasababu ndiyo magari pekee ya wazi yanayopatikana Tanzania, Lakini wewe unatarajia uone Magari ya Wazi ya Ulaya wakati Tanzania nzima hakuna hata moja?
Tofautisha Simba na Real Madrid wanapobeba Kombe.
"Tupunguze Mihemko"
Halafu eti wanasemaga "sisi ni level za Barcelona". Teh teh.
πππππ Toooba.Yani mijitu haina akili hata kidogo! CCM juu yakuwa wapo Madarakani na Mabilioni yao yote basi wanatumia Lorry kama gari la wazi, halafu anatokea Utopolo eti aone Simba wanatembelea Basi la Wazi wakati tunaishia kuliona kwenye TV tu kwa Nchi za Wenzetu! Sijui huyu Utopolo yeye hilo Basi la Wazi aliliona Mitaa gani hapa Bongo likikatiza!!
Mmeshindwa hata kumuomba bosi wenu hata fuso kubwa linalobeba maji ake alifanyie branding hadi mmechukua kakenta huo uzalilishaji kwa kweliShida ya mashabiki wa kibongo ni kuongea bila kutafakari, hivi kwa akili zako ulitaka Simba ichukue basi la million zaidi ya mia nne kwa ajili tu ya kusherekea ubingwa.
Yaani unataka ufananishe maisha ya Real Madrid na maisha ya Simba.
Kwa uchumi gani wa Simba hadi ifanye hivyo.
Au utasema wangekodi gari je kampuni gani hapa bongo ina mabasi ya aina hiyo.
Simba haina pesa kiasi hicho mnavyofikiria, Unapohoji kitu fikiria pande zote sio tu kupinga kila kitu bila kufikiria
Yani mijitu haina akili hata kidogo! CCM juu yakuwa wapo Madarakani na Mabilioni yao yote basi wanatumia Lorry kama gari la wazi, halafu anatokea Utopolo eti aone Simba wanatembelea Basi la Wazi wakati tunaishia kuliona kwenye TV tu kwa Nchi za Wenzetu! Sijui huyu Utopolo yeye hilo Basi la Wazi aliliona Mitaa gani hapa Bongo likikatiza!!
ππππVyura wamepata mada ya kupoza machungu