Lighton
JF-Expert Member
- Aug 5, 2019
- 1,424
- 2,333
Hahaha unakwama bro hyo ni mihemko ya wazi kabisa .Ilo gari ndio uongozi wa mbumbumbu fc umejitutumua kuwabeba wachezaji kushangilia ubingwa, MO amekaa pembeni ana cheeeeeka. Hii inaonyesha level halisi ya klabu ya Simba bila MO.yaani upepo umepuliza tumeziona nyeti za mbumbumbu fc.